Connect with us

Songs

Young Lunya Vitu Vingi

Get Download Link of Young Lunya Vitu Vingi MP3, Young Lunya Vitu Vingi MP4 Video and Young Lunya Vitu Vingi Lyrics for FREE!

Published

on

Young Lunya Vitu Vingi Mp3 Download

Young Lunya Vitu Vingi - Download Young Lunya Vitu Vingi Mp3 Song Music to your devices with 320kbps ultra high quality audio for Free at Mp3 Juice. You could also find the complete lyrics of Young Lunya Vitu Vingi and video clip as well. All the songs provided are belong to YouTube, we do not host any single of songs and music on our site, Happy Listening!

Young Lunya Vitu Vingi

Title Vitu Vingi
Artist Young Lunya
Album Vitu Vingi
Year 2022
Duration 4:09
File Size 3.8 MB
File Type MP3
Audio Summary 44100 Hz, stereo, s16p, 192 kb/s
Source YouTube Music

Download MP3

Lyric of Young Lunya - Vitu Vingi

Kichwa kina vitu vingi,ila haimaanishi sikupendi
Nivitu vingi tu, ila haimaanishi sikupendi
Kichwa kina vitu vingi ila haimaanishi sikupendi
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi
Shoga zako, wana tabia za kishenzi
Wananipakazia maushenzi ila haimaanishi sikupendi
Kichwa kina vitu vingi eeii!
Ila haimaanishi sikupendi baaw!!
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi ooouh!!
Shoga aah!! Zako eeii!! Wana tabia za kishenzi yiiih!
Wananipakazia maushenzi baaw!!
Ila haimaanishi sikupendi skkkkrrrr!!
Natoka nyumbani kwenda kutafuta ili nyumbani tusile dagaa
Muda ni mchache mambo ni mengi staki mtoto ulale na njaa
Pirika pirika tunapigika na sio kitoto balaa balaa
Na sie wengine sio wakishua vyema kwenda kupigana na mtaaa

So penya penya ka pikipiki

Nilete baga na vichips chips na tukuku kuku koni pipipipi na
Matundatunda ndizi matikiti
Na vijiti vipi?
Kila nnachofanya unakijua ntakuchiti vipi
Shoga zako wanaojifanya hawanipendi hao ndo ambao wanauzimia mziki
Na siwapi nafasi, nawalia bati
Mademu wengine wa nini kujifanya mswati
Ndomana sazingine natoka nyumbani nasahau hata kupiga mswaki

Na muda mwengine sitoi hata kodi ya meza natoka kibati
Hapa utashindia maandazi ila
Nikirudi ni party

Wengine wanasema nawataka ila wao ndo wamejaa kwenye DM
Na wala hawachezei block ila najifanya I don't see em
Wajuze ya kwamba siwezi kujigawa moyo wangu upo kwako waambie
Mimi ni wa kwako waambie wewe ni wa kwangu ndo kiboko ya mie
Kichwa kina vitu vingi ila haimaanishi sikupendi
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi
Shoga zako, wana tabia za kishenzi
Wananipakazia maushenzi ila haimaanishi sikupendi
Kichwa kina vitu vingi eeii!
Ila haimaanishi sikupendi baaw!!
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi ooouh!!
Shoga aah!! Zako eeii!! Wana tabia za kishenzi yiiih!
Wananipakazia maushenzi baaw!!
Ila Aimaanishi sikupendi skkkkrrrr!!
Kukupoteza wewe siwezi kubali
Kitu kingine nnachokipenda unanikubali

Alafu mwenyeewe unajikubali,sie tuna kitu
Tutafika mbali

Nitakupereka kwa mama akakuone nimepata mwali
Sasa
Muda mwengine kichwa kinapata moto maana hata ukitazama simu haziiti
So inanibidi nipanguse chanda pesa kwenda kuzitafta kibishi
Nitajua mbivu nitajua mbichi
Nawe nakujua unavyopenda maupishi
Nywele pochi out kila week
Sasaa! Kwa kipato gani cha mziki!?
Maneno hayakosi yapuuze mpaka wakuone una nyodo
Nami sikuachi chini ya mpera nimeokota dodo
Action nyingi maneno kidogo
Maskio hayataki tena kuskiza zogo, bize kama tunakata gogo
Ndoto haziwezi kutimia kama mwendoo ni mdogo
Walikuja wenye magari na nyumba na hawakukupata
Sasa inabidi nipambane kukupa chochote utakachokitaka
Iphone sijui nini vitakaataka
Nilete chochote utakachotaka
Ndomana nakwenda mchaka ili baby akiitaka baby anaipata
Wengine wanasema nawataka ila wao ndo wamejaa kwenye dm
Na wala hawachezei block ila najifanya i don't see em
Wajuze ya kwamba siwezi kujigawa moyo wangu upo kwako waambie
Mimi ni wa kwako waambie wewe ni wa kwangu ndo kiboko ya mie
Kichwa kina vitu vingi ila haimaanishi sikupendi
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi
Shoga zako, wana tabia za kishenzi
Wananipakazia maushenzi ila haimaanishi sikupendi
Kichwa kina vitu vingi eeii!
Ila haimaanishi sikupendi baaw!!
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi ooouh!!
Shoga aah!! Zako eeii!! Wana tabia za kishenzi yiiih!
Wananipakazia maushenzi baaw!! Ila
Haimaanishi sikupendi skkkkrrrr!!

Young Lunya Vitu Vingi Video Clips:

Related Posts