Connect with us

Songs

Kaswida Audio

Find Download Link of Kaswida Audio MP3, Kaswida Audio MP4 Video and Kaswida Audio Lyrics for FREE!

Published

on

Kaswida Audio Mp3 Download

Kaswida Audio - Download Kaswida Audio Mp3 Song Music to your devices with 320kbps ultra high quality audio for Free at Mp3 Juice. You can also find the complete lyrics of Kaswida Audio and video clip as well. All the songs provided are belong to YouTube, we do not host any single of songs and music on our website, Enjoy Listening!

Kaswida Audio

Title Wapeni Njia Warembo
Artist Ukhty Dyda
Album Vigelegele
Year 2021
Duration 13:06
File Size 11.99 MB
File Type MP3
Audio Summary 44100 Hz, stereo, s16p, 192 kb/s
Source YouTube Music

Download MP3

Lyric of Ukhty Dyda - Wapeni Njia Warembo

Lulululuuululuuuuu.
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Haaah Wapeni njia warembo wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Haaah Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo

Maji ya uvuguvugu, Haiyaaa
Mtengee akaoge, Haiyaaa
Mume hataki vurugu, Haiyaaa
Anataka utulivu, Haiyaaaa
Mpake poda mumeoo, Usijempaka jivu
Raha ya penzi linogee, Wala usiwe na wivu
Kamtunze mume wako
Hoooohoo!! Wala usiwe na wivu

Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Haaah Wapeni njia warembo wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Haaah Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo

A'shife upende tunda, Haiyaaa
Na wazee kuwapenda, Haiyaaa
Na pendo litapoanza, Haiyaaa
Na waridi litatanda, Haiyaaa
Ujue ja kumlinda, Asiwe kutwa aranda
A'shife usijeshindwa, Presha itakupanda
Kuna watu wamuwinda
Haaaahaa!! Mara watamnyakua

Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Haaah Wapeni njia warembo wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Haaah Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo

Kuna maneno laini, Haiyaaa
Yatoa nyoka pangoni, Haiyaaa
Kwa mapenzi ni fashen, Haiyaaa
Mume atabaki ndani, Haiyaaa
Ukijifanya muhuni, Atajatoroka ndani
Kuna wanomtamani, Ni watoto wa mjini
Utabaki laitani
Hiiiiii, iiih!! Sisi tushamnyakua

Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Haaah Wapeni njia warembo wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa aah
Wapeni njia warembo Wapeni njiiaa
Waje mbele tuwaone Wapeni njiaa
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Haaah Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Ni saawa mukicheza ndiyo sawa leoo
Kwa furaha wawili wameoana haooo
Haiyaaaa
Haiyaaaa
Vigelegelee kidogo, Haiyaaa
Harusi pambe si pambee
Vigelegele kama maharusi
Raha si Rahaa
Lululululuuuuuuuh

Wenye shughuli wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Ah wenye shughuli wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Wenye shughuli wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Wenye shughuli wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Ah Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona

Mama mzazi ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Ni mama Aziza ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Na mama mdogo ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Mama binunuu ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena wang'ara sana, Wamefurahi sana leo atawaona

Madada harusi wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Dada mamu ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Na dada Masha wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Na dada ramla ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena wang'ara sana, Wamefurahi sana leo atawaona

Dada subira wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Na dada salha wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Na dada maida wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Madada harusi pambee, Wang'ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena wang'ara sana, Wamefurahi sana leo atawaona

Ndugu harusi wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Dada layla utambe leo, Wang'ara leo atawaona
Ummu Said Ndege nawe, Wang'ara leo atawaona
Amina Amyk ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Naye Asha Ally, Wamefurahi sana leo atawaona
Na Fat'hiya Khator, Wamefurahi sana leo atawaona

Ndugu Far'hat ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Ndugu Far'huya ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Na ndugu Fadya ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Zulekha Nassor ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Ndugu Mamu Hamid, Wamefurahi sana leo atawaona
Na ndugu Nunuu, Wamefurahi sana leo atawaona

Ndugu Shadida anang'ara, Wang'ara leo atawaona
Vigelegele kwa sana, Wang'ara leo atawaona
Na mashangazi wang'ara nao, Wang'ara leo atawaona
Ant Shufaa ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena watamba sana, Wamefurahi sana leo atawaona

Ant Rabiyah ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Ant Raufah ang'ara naye, Wang'ara leo atawaona
Ant Asha Omar ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Mashangazi Wang'ara hao, Wang'ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena watamba sana, Wamefurahi sana leo atawaona

Team Azizimi wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Na team Bandarini wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Team Azizimi wang'ara hao, Wang'ara leo atawaona
Team Bandarini wang'ara nao, Wang'ara leo atawaona
Wamefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena wang'ara sana, Wamefurahi sana leo atawaona

Madada harusi wang'ara, Wang'ara leo atawaona
Dada Mamu na Da masha, Wang'ara leo atawaona
Ramla na Subira, Wang'ara leo atawaona
Salha na Layla, Wang'ara leo atawaona
Na dada Mayda, Wamefurahi sana leo atawaona
Madada wanang'ara, Wamefurahi sana leo atawaona

Mama mzazi ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Mama Aziza ang'ara, Wang'ara leo atawaona
Madada harusi mupoo, Wang'ara leo atawaona
Madada harusi safii, Wang'ara leo atawaona
Mumefurahika, Wamefurahi sana leo atawaona
Tena mwatamba sana, Wamefurahi sana leo atawaona
Aaaiiiiiih, iihiihiii.

Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Ah Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Ah Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Ah Tunaye mama harusi tunaye Twatamba naye
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Hata mkisema, Mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Hata mkinuna, Mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Ah Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Leo tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Tunaye mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Hata mkisema, mama harusi tunaye Wetu wenyewe
Hata mkinuna, mama harusi tunaye wetu wenyewe
Hata mkicheka, mama harusi tunaye wetu wenyewe
Hata mkisema, mama harusi tunaye Wetu wenyewe eeeh

Kaswida Audio Video Clips:

Related Posts

Kaswida Audio

Kaswida Audio

August 24, 2022