Connect with us

Songs

Nyimbo Za Kuabudu Audio Mdundo

Acquire Download Link of Nyimbo Za Kuabudu Audio Mdundo MP3, Nyimbo Za Kuabudu Audio Mdundo MP4 Video and Nyimbo Za Kuabudu Audio Mdundo Lyrics for FREE!

Published

on

Nyimbo Za Kuabudu Audio Mdundo Mp3 Download

Nyimbo Za Kuabudu Audio Mdundo - Download Nyimbo Za Kuabudu Audio Mdundo Mp3 Song Music to your devices with 320kbps ultra high quality audio for Free at Mp3 Juice. You can also find the complete lyrics of Nyimbo Za Kuabudu Audio Mdundo and video clip as well. All the songs provided are belong to YouTube, we do not host any single of songs and music on our platform, Happy Listening!

Nyimbo Za Kuabudu Audio Mdundo

Title Kaa Nami
Artist Angela Chibalonza M.
Album Nimekutana Na Yesu
Year 2017
Duration 5:02
File Size 4.61 MB
File Type MP3
Audio Summary 44100 Hz, stereo, s16p, 192 kb/s
Source YouTube Music

Download MP3

Lyric of Angela Chibalonza M. - Kaa Nami

Mmhh
Oooh
Hallelujah
Kaa nami Yesu
Bila wewe sita shinda dunia hii
Maadui zangu ni wengi
Wanatamani kunimaliza
Kaa nami bwana
Oooh hallelujah
Yahweh

Kaa nami
Ni usiku sana
Usiniache gizani bwana
Msaaada wako haukomi
Gili pekee yangu kaa nami
Oooooo ooooh

Siku zetu
Hazikawii kwisha
Sioni laku nifurahisha
Hakuna ambacho hakikomi
Usiye na mwisho kaa nami
Ooooo ooh
Hallelujah
Kaa nami Yesu
Nakuhitaji usiku na mchana
Aja ya moyo wangu ni kwamba
Nikae na wewe milele
Nitembee na wewe
Nikule na wewe kila wakati bwana
Takasa maisha yangu
Ooh hallelujah
Asante bwana
Oooh
Mi nahaja na wewe Yesu
Hallelujah oooh Jesus
Hallelujah
Mi nahaja na wewe kila saa
Sina mwingine wa kunifaa
Mimi nitaongozwa na nani
Ila wewe bwana
Kaa nami
Ooh hallelujah
Nakuhitaji bwana
Sichi neno
Uwapo karibu
Nipatalolote sitahabu
Kifo na kaburi haviumi
Nitashinda kwako
Kaa nami
Eeeh hallelujah
I need you Jesus
Nakuhitaji bwana Yesu
Yesu anahudumia maisha yako
Bwana anagusa nyumba yako
Anagusa familia yako
Fungua tu moyo wako
Pokea baraka za bwana maishani mwako
Yuko tayari kukaa na wewe
Ikawa utafungua moyo wako aingie na aishi pamoja na wewe hallelujah
Ahsante Bwana Yesu
Ahsante hallelujah
Nilalapo nikuone wewe
Gizani mwote nimulikie
Nuru za mbinguni hazikomi
Siku zangu zote kaa nami
Oooh "rabasharta rababosaya"
Yes Lord
Nakuhitaji hallelujah
Kaa pamoja nami mfalme
Haja wa moyo wangu
Ni wewe ukae na mimi
Kaa na taifa la Kenya
Kaa na wakristo
Kaa na watumishi wako bwana
Fungua waliofungwa
Okoa
Inua mioyo iliyoshushwa bwana
Kila mahali ulipo
Hallelujah

Nyimbo Za Kuabudu Audio Mdundo Video Clips:

Related Posts