Connect with us

Songs

Kuachana Shingapi Remix

Acquire Download Link of Kuachana Shingapi Remix MP3, Kuachana Shingapi Remix MP4 Video and Kuachana Shingapi Remix Lyrics for FREE!

Published

on

Kuachana Shingapi Remix Mp3 Download

Kuachana Shingapi Remix - Download Kuachana Shingapi Remix Mp3 Song Music to your devices with 320kbps ultra high quality audio for Free at Mp3Juices. You could also find the complete lyrics of Kuachana Shingapi Remix and video clip as well. All the songs provided are belong to YouTube, we do not host any single of songs and music on our website, Enjoy Downloading!

Kuachana Shingapi Remix

Title Kuachana Shingapi (Remix) (feat. Platform, Lody Music & Barnaba)
Artist D voice
Album Kuachana Shingapi (Remix)
Year 2022
Duration 4:09
File Size 3.8 MB
File Type MP3
Audio Summary 44100 Hz, stereo, s16p, 192 kb/s
Source YouTube Music

Download MP3

Lyric of D voice - Kuachana Shingapi (Remix) (feat. Platform, Lody Music & Barnaba)

Eehhn

Mopao

Ndege kageuka bundi

(JM) Oya wewe (on the track) Aaanhh (O righty)

Mapenzi Mapenzi ya limtesa babu, Lakini bado aliweza survive
Labda nikupe habari sasa umekua, mambo ya kutesana nayajua

Hata utoke na danga (huja nikomoa)
Hata utoke na baba yangu pia (huja nikomoa)
Hata utoke na dangote (huja nikomoa)
Hata ugeuke huwe cha wote (huja nikomoa)

Yanini kupanangene eti niende kuroga
Yani nforce unipende hatuja zaliwa pamoja

Mapenzi mibase nyenge nkupaishe shoga
Hauwezi kupanda embe lijekuota boga!

(Kwani kuachana shingapi?)
(Kuachana bei gani?)
(Kwani kuachana shingapi?)
(Kuachana bei gani?)
(Kwani Kuachana shingapi wewe?)
(Kuachwa bei gani?)
(Kwani Kuachana shingapi wewe?)
(Kuachwa bei gani?)

Mapenzi sio mchezo yanaumiza zaidi
Inabidi uwe na pesa ili uyafaidi
Ndio mana sishangai ex-wangu alinikataa

Wengine hawali kisa penzi wanashinda njaa
Mapenzi mapenzi mchezo utaniuwa bure
Bora niwe single, nisijefanywa mimsukule

Leo yupo kwangu kesho kwa Juma hona
Maana siawezi mapenzi yanauma

(Kwani kuachana shingapi?)
(Kuachana bei gani?)
(Kwani kuachana shingapi?)
(Kuachana bei gani?)
(Kwani Kuachana shingapi wewe?)
(Kuachwa bei gani?)
(Kwani Kuachana shingapi wewe?)
(Kuachwa bei gani?)

Anatumika yuko busy, achana nae!
Anadanganya anacheat temana nae, maana mapenzi ukaidi
Wenye pesa ndio wanafaidi, Oh!

Wadada wa mjini sikuizi wanapenda pesa,kama hauna wata kupelekesha
Ndio mana nachuna naona bora kuvesha
Kama ufundi kakapeleka veta!

(Kwani kuachana shingapi?)
(Kuachana bei gani?)
(Kwani kuachana shingapi?)
(Kuachana bei gani?)
(Kwani Kuachana shingapi wewe?)
(Kuachwa bei gani?)

(Kwani Kuachana shingapi wewe?)
(Kuachwa bei gani?)

Here I am baba, I'm London boy
Is D VOICE genie

Kwani kuachana shingapi

Kuachana Shingapi Remix Video Clips:

Related Posts